Jumapili, 25 Mei 2014

WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANI(TFS) ILIVYOFANIKIWA KURUDISHA HADHI YA HIFADHI ZA MAZINGIRA ASILIA KATIKA MSITU YA SHENGENA NA AMANI.

Tazama maajab ya Hifadhi ya Mazingira Asili ya Mitu wa Shengena uliko Same mkoani Kilimanjaro na Msitu wa Hifadhi Mazingira Asilia Amani mkani Tanga.

Haya n maporomoko ya EUTICO MIVIK FALLS yaklioko katika Hifadhi za Msitu wa Amani.

Kizimba cha kufugia vipepeo, biashara ambayo imkuwa ikiwanufaisha wananchi wa Muheza katika vijiji vinavyozuunguka hifadhi ya Amani.

Maporomoko haya ni moja ya chanzo kikuu cha maji na Tanki la maji la Mkoa wa Tanga.

Wanafunzi kutoka Marekani ni moja ya sehemu yao ya kufanya utafiti kuhusu som la Bailojia, hapa wako katika kituo cha KWAMKORO, kilichopo Amani Nature Reserve. Tanga.

Jengo hili lilijengwa mwaka 1902 na wakolni kutoka Ujeumani na kilikuwa kituo Kikuu cha kusafirishia magogo yaliokuwa yakitoka katika Amani Nature Reserve, Mkoa wa Tanga. Hii ilikuwa nyumba ya Station  master wa kwanza

Huu ni Msitu wa Shengena ulioko Same, Kilimanjaro ambapo baadhi ya wapasua mbao na wachimba madini walikuwa wamehuaribu.

Huu ni mlima ambao juu kuna wananchi wanaishi ambapo msitu wake ni asila, uko katika Hifadhi za Shengena au Chome.

Maporomoko ya maji ambayo  ni faida kwa wananchiAdd caption







Hakuna maoni: