Mwanariadha Oscar Pistorius. |
wakati alipomuua mpenzi wake Reeva Steenkamp.Jaji huyo Thokozile Masipa aliamuamuru Pistorius awe anakwenda katika hospitali ya maradhi ya kiakili ya Weskoppies mjini Pretoria kila siku kuanzia tarehe 26 mwezi Mei.
Amri hiyo inakuja baada ya shahidi mmoja wa upande wa mashitaka kusema kuwa mwanariadha huyo anakumbwa na matatizo ya kuzongwa na mawazo pamoja na kuwa na wasiwasi wakati wote.
Katika kesi hiyo Pistorius amekanusha madai ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp kusudi.
Ambapo amesema kwamba kwa bahati mbaya alimpiga risasi kupitia mlango wa choo baada ya kushikwa na wasiwasi akidhani kuwa alikuwa jambazi aliyevamia nyumba yake.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni