Ijumaa, 9 Mei 2014

MOST MUSCULAR MAN KUFANYIKA MAY 24, UKUMBI WA PJ. PALACE.

TANZANIA CONTEST 2014, ni mashindano ya kumtafuta mwanaume aliyejengeka kimisuli zaidi ambapo jumla ya washiriki 16, kutoka mikoa mbalimbali watawania taji.

Shindano hilo limeandaliwa na Tanzaned Titness Studio, chini Mkurugenzi wake Mohamed Ally ambapo mratibu wa shindano hilo ni mtunisha misuli mahiri nchini 1997, Fike Wilson.

KUTOKA kushoto ni Robert Samson, Noah Sichembe na Muhammed Nauman ambao ni watunisha misuri watakaoshiriki katika shindano la kumtafuta mwanaume aliyejengeka kimisuri zaidi yatakayofanyika mwishoni mwa mwezi huu. Mashindano hayo yameandaliwa na kituo cha mazoezi cha Tanzaned Fitness Studio, iliyoko maeneo ya Gymkhana, Dar es Salaam.

Kushoto ni Kulwa Hamis, Robert Samson, Noah Sichembe na Muhammed Nauman ambao ni watunisha misuri watakaoshiriki katika shindano la kumtafuta mwanaume aliyejengeka kimisuri zaidi yatakayofanyika mwishoni mwa mwezi huu. Mashindano hayo yameandaliwa na kituo cha mazoezi cha Tanzaned Fitness Studio, iliyoko maeneo ya Gymkhana, Dar es Salaam.

Mtunisha misuri Kulwa Hamis

Muhammed Nauman

Vidume kazini

Hakuna maoni: