Baadhi walipanda kwenye paa kusubiri msaada wa uokoaji |
Vijiji hivyo vimefunikwa na udongo wenye ukubwa wa karibu mita 10, kwenda juu baada ya eneo la mlima mmoja kuporomoka kutokana na mvua kubwa zinazonyesha.
Miili ya watu wapatao 350 imepatikana katika maporomoko ya ardhi kaskazini mashariki mwa taifa hilo na hakuna mtu yoyote aliyepatikana akiwa hai.
Aidha, taarifa kutoka Umoja wa Mataifa (UN) zinasema karibu watu 4000 hawana makazi, ambapo juhudi za uokoji zinaendelea siku ya pili.
Mvua zilizonyesha na kusababisha mafuriko na kuleta madhara kwa wananchi wa Afghanstan |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni