Jumapili, 11 Mei 2014

MWENYEKITI WA YANGA YUSUFU MANJI AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WA MATAWI.

Manji alizungumza na viongozi wa matawi kuhusu kuwasimamisha wanachama wa tawi la Tandale, Dar es Salaam, jana.
 Pia alizungumzia kuhusu mkutano mkutano mkuu utakaofanyika mwezi ujao wenye lengo la kurekebisha katiba ya klabu hiyo na masuala yanayohusu usajili wa wachezaji watakaoitumikia Yanga.

Mwenyekiti ya Yanga Yusufu Manji akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mambo mbalimbali kuhusu klabu hiyo, kushoto ni Clement Sanga.(Picha na Emmanuel Ndege)

Hakuna maoni: