OPERESHENI safisha jiji, iangalie na hali ya uchafu katika maeneo ya katikati ya jiji la Dar es Salaa. |
BARABARA ya mtaa wa Samora ikiwa imefungwa upande mmoja kwa kutumia mawe na tairi chakavu. |
MJASILIAMALI akitembeza vikapu mtaani, matumizi ya vikapu ni rafiki kwa utunzaji mazingira. |
MVUA zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, zimekuwa zikiharibu miundombinu ya barabara ambazo zimekuwa na changamoto ya ukosefu mifereji ya maji ya mvua au kuziba. |
KIKUNDI cha sanaa cha jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao katika mchezo wa sarakasi. |
TAIRI chakavu zikiwa zimeterekezwa katika enep la makabili katika eneo la Buguruni Malapa, Dar es Salaam, ambapo ni kinyume cha utaratibu na kutokuheshimu wenzetu waliotangulia mbele ya haki. |
WIZI wa mifuniko ya chuma katika chemba za maji taka katika maeneo mbalimbali ya jijini imekuwa ikileta adha kwa watumiaji wa barabara. Mifuniko huuzwa kwa chuma chakavu. , |
BAADHI ya abiria waliokuwa katika basi la Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam(UDA), wakimsikiliza askari wa Kikosi cha Usalama barabarani alipolikamata jana, katika eneo la Posta. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni