Ni mara chache kwa klabu kubwa au ndogo kumuaga kocha wake baada ya mkataba wa kuitumikia klabu kumalizika, kama alivyofanyiwa sherehe kwa aliyekuwa kocha Mkuu wa Yanga Hans Vans Der Pluijm na klabu yake hiyo ilioko mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam.
Hans Van Der Pluijmp akikata keki. |
Keki maalum aliyoandaliwa kwa ajili kocha huyo aliyeagwa baada ya mkataba wake wa miezi sita kuinoa klabu hiyo kumalizika. |
Pluijmp akishikana mikono na mpigapicha wa magezeti ya Uhuru na Mzalendo kuashiria kuagana naye wakati wa shere hizo zilizofanyika klabuni hapo. |
Kocha msaidizi wa Yanga Charles Boniface Mkwasa (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Muholanzi huyo wengine kutoka kushoto ni Mtunza vifaa Mpogoro, Kocha wa Makipa Juma Pondamali. |
Kocha huyo akiwa na baadhi ya wanachama wa klabu hiyo wakati wa sherehe hiyo klabuni hapo. |
Pluijmp akibadilishana mawazo na Katibu wa klabu hiyo Njovu , Mkwasa na Pondamali. |
Akikabidhiwa mpira na katibu ili kuonyesha kuthamini mchango wake baada ya kumaliza mkata wake. |
Akikabidhiwa zawadi kutoka wanachama wa klabu hiyo ambapo katibu Mkuu Njovu alimkabidhi. |
Pluijmp akionyesha kadi yake ya uanachama wa klabu hiyo aliyokabidhiwa na katibu Njovu. |
Pluijm akisakata Rumba liloandaliwa klabuni hapo |
Picha zite na Emmanuel Ndege, Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni