Jumanne, 20 Mei 2014

UPULIZAJI WA DAWA YA KUZUIA MBU WAENEZAO HOMA YA DENGE.

Operesheni ya kunyunyuzia dawa ya kuua mbu waenezao homa ya Denge ambayo imekuwa ukusaamba katika baadhi ya mikoa nchini Tanzani, imesababisha mabaso yote yaendayo mikoani kkufanyiwa zoezi hilo.

Basi la Raha Leo likinyunyuziwa dawa ya kuua mbu waenezao homa ya denge katika Kituo Kikuu cha Mbasi, Ubungo jijini Dar es Salaam.


Hakuna maoni: