Wananchi waliofika katika viwanja vya Leaders kuuga mwili wa marehemu Kuambiana. |
Waigizaji wakiwa katika msba huo. |
Muhogo Mchungu akiwa msibani hapo katika kuuga mwili wa mpendwa Kuambiana ambaye alikuwa mwigizaji na muigozaji wa filamu. |
Kushoto ni Waziri wa Habari, Vijana, Michezo na Utamaduni, Dk. Fenella Mukangara akiwa katika viwanja vya Leaders kuuga mwili wa marehemu. Katikati ni mke wa marehemu, Adam Kuambiana. |
Kushoto ni Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusufu Mwenda akiwa na Waziri Dk. Fenella na mke wa marehemu Kuambiana. |
Msaani wa nyimbo za Injili Stara Thomas akiimba katika Viwanjani hapo. |
Mke wa marehemu akilia kwa uchungu huku akibembelezwa na mwenzake. |
Mwugizaji Mashuhuri JB, akizungumza na vyombo vya habari kuhusu Adam Kuambiana. |
Steve Nyerere akitoa saruti kuonyesha kuwa Kwambiana alikuwa mtu muhimu sana katika suala la Filam. |
Dk. Fenella akiaga mwili wa marehemu. |
Mwili wa Kuambiana ukiingia katika viwanja vya Leaders. |
R.I.P KWAMBIANA TUTAKUKUMBUKA DAIMA. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni