Mshambulaji kutoka nchini Brazil ametua katika Mkao Makuu ya klabu hiyo iloko mitaa ya Twiga na Jangwani kwa ajili kujiunga na klabu hiyo ambayo imepanga kuwa ya kimataifa.
Santos, alitua katika ardhi ya Tanzania akitokea kwao saa 8.15, mchana ambapo alipokewa na viongozi mbalimbali wa klabu hiyo huku akilakiwa na wanachama wa yanga, ambapo alipelekwa moja kwa moja hadi klabuni hapo.
Huyo ni mchezaji wa pili kutia katika klabu hiyo ambapo wakwanza Kiungo mshambuliaji, Marcel Ferreira Coutinho.
Genilson Santana Santos, akiwasili katika Makao Mkauu ya Klabu ya Yanga kwa ajili ya kuingia kandarasi ya kuitumikia klabu hiyo. |
Nimekuja kuwashika |
Genilson Santana Santos. |
Akisaini kitabu cha wageni klabuni hapo. |
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga baraka Kizuguto, akimkaribisha Santos, klabuni hapo. |
Akiwasalimia baadhi ya wanachama na mashabiki wa Yanga. |
Binda akizumtambulisha Santos baada kukanyaga katika klabuni hapo. |
Wanachama na Mashabiki wa klabu ya Yanga wakiwa klabuni hapo kumwangalia Santos. |
Maoni 1 :
badilisheni la blog yenu sana.
Chapisha Maoni