Bidhaa zikishushwa katika soko la Buguruni, kunakopelekea kufurika kwa bidhaa sokoni hapo. |
Barabara ya Kisutu, Dar es Salaam, ikiwa imeharibika kutokana na mvua zilizokuwa zinanyesha mwezi uliopita kunasababisha usumbufu kwa wapita njia. |
Wajumbe wa kikao cha Jumuia ya Wazai kata ya Upanga Magharibi wakiwa nje ya ofisi ya Kata hiyo, baada ya ukumbi waliotakiwa kufanya kikao hicho kufungwa. |
Ukosefu wa viwanda vidogo vidogo na kusindika matunda kunapelekea hasara ya matunda kuharibika. Machungwa yaliokosa wateja yakiwa yametelekezwa sokoni hapo. |
Wateja wakinunua mihogo katika soko la Buguruni kwa ajili kutengenezea futari wakati wa kipindi hiki cha mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni