Meya Masabuli amehaidi kutoa sh. milioni 5. kuchangia SACCOS ya Shina la Pamba road, ambapo amewashauri waanzishe VICOBA, ili kuweza kujileta maendeleo.
Pia, ameadi kuwa kuwachukulia hatua ba kisheria kwa wae aliojenga na kuziba maitaro hali inayopelekea ksababisha uchafu katikati ya jiji hilo.
Katibu wa Shina hilo akimtambulisha Meya huyo kwa wanachama waliofika kumsikiliza wakati alipotembelea katika shina hilo. |
Wanachama wa shina hilo la Pamba road, wakimsikiliza kwa makini Meya, Masabuli wakati akitoa neno kwa wanachama hao. |
Masabuli akipokea risala iliyosomwa na Katibu wa Uchumi na Fedha Kata ya Kivukoni, Abdallah Isere (Sosi Malema). Kushoto ni Mwenyekiti wa Shina hilo Sharik. |
Sosi Malema akisoma Risala kwa mgeni rasmi na kueleza changamoto zao zinazowakabili vijana katika eneo hilo. |
Masabuli akikabidhiwa maua na Mwenyekiti huyo. |
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Masabuli akikaribishwa na Mwenyekiti wa Shina la CCM, Pamba road, Dar es Salaam, Sharik Choughule baada ya kutembela katika shina hilo. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni