Jumatatu, 2 Juni 2014

MKUTANO WA YANGA KATIKA UKUMBI WA BWALO LA MAOFISA WA POLISI, WAMALIZIKA KWA AMANI.

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Yusufu Manji na Makamu Mwenykiti wa klabu hiyo Clement Sanga wakiingia katika ukumbi wa mkutano wa Polisi Officers Mase, baada ya kujadiliwa na wananachama ambapo walimuongezea mwaka mmoja wa kuingoza timu hiyo.

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Yusufu Manji, kulia akiteta jambo na Makamu Mwenyekti Baraza la Wadhamini, Francis Kifukwe, wakati wa mkutano huo. Katikati ni Makamu Mwenykiti wa klabu hiyo, Clement Sanga



Wanachama wa Yanga wakimsikiliza Mwenyekiti wao, Yusufu Manji wakati wa mkutano uliofanyika jana katika ukumbi wa Police Offers Mase.


Wazee wa klabu hiyo nao walikuwa katika mkutano huo ili kuhakikisha kila jambo linakwenda vizuri.

Makamu Mwenyekti Baraza la Wadhamini, Francis Kifukwe akizungumza katika mkutanao uliowashirikisha wananchama wote. Kushoto Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini Mama Fatuma Karume, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee na Kulia Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa klabu hiyo, Mussa Katabalo.

Add caption



Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusufu Manji, Makamu Mwenyekti Baraza la Wadhamini, Francis Kifukwe na Makamu Mwenykiti wa klabu hiyo Clement Sanga wakijadili jambo kuhusu timu hiyo yenye Makao Makuu katika mtaa wa Twiga na Jangwani.

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

wekeni kurasa za muchezo na burudani.