Jumatano, 4 Juni 2014

MAMIA YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM, WAMEMUAGA ALIYEKUWA MSANII NA MUONGAZAJI NA MTENGENEZA FILAMU, GEORGE OTIENO OKOMU (TYSON), VIWANJA VYA LEADER'S CLUB.


GEORGE OTIENO OKOMU (TYSON)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik amewaongoza mamia ya wakazi wa Dar es Salaam, kuuaga mwili wa George Tyson, katika viwanja vya Leaders leo.
Tyson amesafirishwa leo kuelekea nyumbani kwao Kenya kwa ajili ya mazishi.
                   
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick akiuaga mwili marehemu Tyson, ambapo aliwaongoza wananchi wa Dar es Salaam.


Mtoto wa marehemu Tyson, Sonia Okomu akiwa na Mama yake mzazi Monalisa, wakati wa kuuwaga mwili Tyson.





Baadhi ya wasanii wakiwa katika majonzi wakati wa kuuaga mwili marehemu.



Meya wa Manuspaa ya Ilala akiwafariji aliwahi kuwa mke wa Tyson na mtoto wa marehemu.


                   R.I.P GEORGE TYSON.

Hakuna maoni: