Kijiko kikiendelea kubomoa eneo la kilichokuwa kituo cha daladala cha Mwenge, ambapo kituo hicho kimehamishiwa eneo la Makumbusho. |
Daladala zikiwa kituoni makumbusho baada ya kuhamishwa kwa kilichokuwa kituo cha daladala cha Mwenge, ambacho kiko katika matengenezo kwa ajili Mradi wa mabasi Yaendayo haraka, jijini Dar es salaam. |
Sehemu ya eneo lilokuwa kituo cha Daladala Mwenge, Dar es Salaam, likiwa wazi baada ya kibomolewa kwa lengo la kupisha mradi wa mabasi Yaendayo haraka, jijini Dar es salaam. |
Daladala zikiwa kituoni makumbusho baada ya kuhamishwa kwa kilichokuwa kituo cha daladala cha Mwenge, ambacho kiko katika matengenezo kwa ajili Mradi wa mabasi Yaendayo haraka, jijini Dar es salaam. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni