Nyumba hizo zilizoko maeneo ya Mbezi beach, Dar es Salaa, zilibomolewa na serikali kupitia Wizara ya Ardhi, nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Sabubu ya kubomolewa kwa nyumba hizo ni kujengwa katika kiwanja cha mjane aliyetambulika kwa jina la Janeth, ambako imeelezwa kuna kesi mahakamani baada ya kudaiwa Mchungaji Rwakatale amevamia katika kiwanja hicho.Licha Mahakama kutoa agizo la kutofanyika kwa kiu chocote katika kiwana hicho lakini imeelezwa kuwa Mchugaji Rwakatale alikaidi amri hiyo na kuendelea na ujenzi.
|
Kijiko kikiendelea na zoezi la uvunjaji wa nyumba hizo. |
|
Muonekano wa numba hio kabla ya kuvunjwa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi |
|
Mjane Janeth anayedaiwa kuwa ni mmiliki halali wa kiwanja hicho ambacho Mchungaji na Mbunge wa Viti maalum, Getrude Rwakatale amejenga. |
|
Mlinzi aliyekuwa akilinda numba hizo akiangalia uvunjaji huo. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni