Sheikh Farid Hadi Ahmed, ambaye anadaiwa kufadhili vitendo vya kigaidi nchini amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisitu, Dar es Salaam.
Mtuhumiwa Sheikh Farid akiwa chini ya ulinzi wa polisi, mahakamani hapo akipelekwa kwenye kizimba kwa ajili ya kujibu mashtaka yanayomkabili ya kudaiwa kufadhili vitendo vya kigaidi. |
Akiwa na mtuhumiwa mwenzake mahakamani hapo, wakitoka baada ya kila mmoja kusomewa mashtaka yanayomkabili. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni