Lions Clubs Tanzania in measles and Rubella Campaign is a successful drive to immunise the future of every developing country.
In Tanzania we have over 21, millions children under the age of 15 years ready for immunisation.
The campaign to sensitise all Tanzanias will commence from 1 to 6 September , while the immunisation programmes will take place from 24 to 27, september at over 13, 700 health centres in the whole country.
Lions Clubs Tanzania fraternity will mobilise its over 450, members to keenly participate and create awareness through various means from houses to schools in order that no child is left without the precious lifesaving vaccine.
|
Mratibu wa kampeni ya chanjo ya ugonjwa wa surua na rubella, Abdul Majeed, akiewaelezea wajumbe wa semina ya kupambana na magonjwa hayo, Dar es Salaam, jana. |
|
Wajumbe wa semina wakisikiliza hotuba kutoka kwa Mratibu wa kampeni ya chanjo ya ugonjwa wa surua na rubella, Abdul Majeed. |
|
Wajumbe kutoka mikoa mbalimbali nchini Tanzania walihudhuria semina hiyo. |
|
Wajumbe wakimsikiliza Meneja wa Mpango wa Taifa Chanjo, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Dafrossa Lyimo akitoa hutuba yake wakati wa semina hiyo. |
|
Meneja Mpango wa Taifa Chanjo, Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii, Dk. Dafrossa Lyimo, akieelezea wajumbe katika semina ya chanjo ya rubella na surua katika kupambana na magonjwa hayo, Dar es Salaam |
|
Mratibu wa kampeni ya chanjo ya ugonjwa wa surua na rubella, Abdul Majeed, akizungumza na vyombo vya habari, Dar es Salaam. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni