Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kutenga Taifa Dk. Hussein Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Shina la CCM, Pamba road, Sharik Choughule, wakati wa sherehe za IDD Elfitri. |
Kamanda wa polisi mkoa wa arusha Liberatus Sabas akisoma majina 19 ya watuhumiwa wa matukio ya ulipuaji mabomu na umwagaji tindikali, Arusha kwa waandishi wa habari. |
Hali mbaya ya uchafu katika soko la Buguruni ambayo inasabibishwa kuharibika kwa matunda kukosa wateja imekuwa likitishia afya za wateja na wafanyabiashara sikoni hapo. |
Tatizo la miundombinu ya barabara kuharibika katika barabara ya Uhuru, Dar es Salaam kumepelekea gari kutumia njia mbadala ya waenda kwa miguu ili kukwepa mashimo. |
Takataka zikiwa zimetelekezwa katika mtaa wa barabara ya msimbazi, eneo la Kariakoo kunakopelekea jiji la Dar es Salaam,kuwa chafu licha serikali kujitahidi kusafisha. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni