Jumapili, 17 Agosti 2014

LIONS CLUBS TANZANIA YAFANYA SEMINA YA SURUA NA RUBELLA.

Lions Clubs Tanzania in measles and Rubella Campaign is a successful drive to immunise the future of every developing country.
In Tanzania we have over 21, millions children under the age of 15 years ready for immunisation.
The campaign to sensitise all Tanzanias will commence from 1 to 6 September , while the immunisation programmes will take place from 24 to 27, september at over 13, 700 health centres in the whole country.
Lions Clubs Tanzania fraternity will mobilise its over 450, members to keenly participate and create awareness through various means from houses to schools in order that no child is left without the precious lifesaving vaccine.

Mratibu wa kampeni ya chanjo ya ugonjwa wa surua na rubella, Abdul Majeed, akiewaelezea wajumbe wa semina ya kupambana na magonjwa hayo, Dar es Salaam, jana.

Wajumbe wa semina wakisikiliza hotuba kutoka kwa Mratibu wa kampeni ya chanjo ya ugonjwa wa surua na rubella, Abdul Majeed.

Wajumbe kutoka mikoa mbalimbali nchini Tanzania walihudhuria semina hiyo.

Wajumbe wakimsikiliza Meneja wa Mpango wa Taifa Chanjo, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Dafrossa Lyimo akitoa hutuba yake wakati wa semina hiyo.

Meneja  Mpango wa Taifa Chanjo, Wizara ya Afya na  Ustawi wa jamii, Dk. Dafrossa Lyimo, akieelezea wajumbe katika semina ya chanjo ya rubella na surua katika kupambana na magonjwa hayo, Dar es Salaam

Mratibu wa kampeni ya chanjo ya ugonjwa wa surua na rubella, Abdul Majeed, akizungumza na vyombo vya habari, Dar es Salaam.

Alhamisi, 7 Agosti 2014

NYUMBA NNE ZINAZODAIWA ZA MCHUNGAJI RWAKATALE ZIMEVUNJWA NA SERIKALI.

Nyumba hizo zilizoko maeneo ya Mbezi beach, Dar es Salaa, zilibomolewa na serikali kupitia Wizara ya Ardhi, nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Sabubu ya kubomolewa kwa nyumba hizo ni kujengwa katika kiwanja cha mjane aliyetambulika kwa jina la Janeth, ambako imeelezwa kuna kesi mahakamani baada ya kudaiwa Mchungaji Rwakatale amevamia katika kiwanja hicho.Licha Mahakama kutoa agizo la kutofanyika kwa kiu chocote katika kiwana hicho lakini imeelezwa kuwa Mchugaji Rwakatale  alikaidi amri hiyo na kuendelea na ujenzi.

Kijiko kikiendelea na zoezi la uvunjaji wa nyumba hizo.



Muonekano wa numba hio kabla ya kuvunjwa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Mjane Janeth anayedaiwa kuwa ni mmiliki halali wa kiwanja hicho ambacho Mchungaji na Mbunge wa Viti maalum, Getrude Rwakatale amejenga.

Mlinzi aliyekuwa akilinda numba hizo akiangalia uvunjaji huo.


Jumapili, 3 Agosti 2014

AMANI WOMEN GROUP (AWG) BYATOA MSAADA KWA WAGONJWA, OCEAN ROAD, DAR ES SALAAM.


Kikundi cha Wanawake, Amani Women Group, (AWG) wametoa misaada mbalimbali yenye thamani ya sh. milioni 1.5, kwa wagonjwa 250, katika Taasisi ya Saratani ya Ocean road.

Kikundi chenye wanachama 16, kilichopo Ukonga Mombasa, Dar es Salaam, kimetoa msaada huo kwa lengo la kuwafariji na kuwathamini wagonjwa hao kwani sehemu ya jamii.
Mwenyekiti wa Kikundi hicho Elizabeth Mshana Mbekenga alisema kazi mojawapo ya kukundi hicho ni kusaidiana katika masuala mbalimbali ya kiuchumi, jamii na Elimu.
Dk. Elizabeth alisema jamii inapaswa kutambua kuwa ngazi ya kusaidiana inaanzia katika jamii yenyewe kwa kutambua shida za wengine.

Hata hivyo aliotoa ushauri kwa wanawake nchini  kujiunga katika vikundi waweze kusadiana katika masuala ya kiuchumi, kijamii na kielimu na kujiletea maendeleo.Alisema wakiwa katika vikundi wataweza kukopeshana, kusaidiana na kupeana ushauri mbalimbali kwa ajili maendeleo yao.

Baadhi ya misaada iliyotolewa na Amani Wowen Group ikiwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dar es Salaam.

Viongozi na wanachama wa AWG, wakiwa katika picha ya pamoja Hospitalini hapo, baada ya kumaliza kazi ya kugawa misaada kwa wgonjwa.

Wakiandaa zawadi zao kwa ajili kurahisisha ugawaji ili kuhakikisha kila mgonjwa anapata.

Wanachama wa AWG, wakiwa ndani ya Hospitali hiyo kugawa zawadi zao kwa wagonjwa na kuwapa pole.


Mwenyekiti wa kikundi hicho, Dk. Elizabeth Mshana Mbekenga akimkabidhi mgonjwa zawadi pamoja na kumfariji katika wodi ya wanawake Ocean road.



Wakipongezana baada zoezi la kuwapa pole na kutoa zawadi kumalizika.






Ijumaa, 1 Agosti 2014

HATIMAYE MFADHILI WA VITENDO VYA UGAIDI AFIKISHWA MAKAMANI.

                                                                     BREAKING NEWS!..

  Sheikh Farid Hadi Ahmed, ambaye anadaiwa kufadhili vitendo vya kigaidi nchini amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisitu, Dar es Salaam.



Mtuhumiwa Sheikh Farid akiwa chini ya ulinzi wa polisi, mahakamani hapo akipelekwa kwenye kizimba kwa ajili ya
kujibu mashtaka yanayomkabili ya kudaiwa kufadhili vitendo vya kigaidi.

Akiwa na mtuhumiwa mwenzake mahakamani hapo, wakitoka baada ya kila mmoja kusomewa mashtaka yanayomkabili.

KAMERA YA SUNBIRDNEWS MTAANI

EID MUBARAKAH   EID MUBARAKAH   EID MUBARAKH





Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kutenga Taifa Dk. Hussein Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Shina la CCM, Pamba road, Sharik Choughule, wakati wa sherehe za IDD Elfitri.


Kamanda wa polisi mkoa wa arusha Liberatus Sabas akisoma majina 19 ya watuhumiwa wa matukio ya ulipuaji mabomu na umwagaji tindikali, Arusha kwa waandishi wa habari.


Hali mbaya ya uchafu katika soko la Buguruni ambayo inasabibishwa kuharibika kwa matunda kukosa wateja imekuwa likitishia afya za wateja na wafanyabiashara sikoni hapo.


Tatizo la miundombinu ya barabara kuharibika katika barabara ya Uhuru, Dar es Salaam kumepelekea gari kutumia njia mbadala ya waenda kwa miguu ili kukwepa mashimo.


Takataka zikiwa zimetelekezwa katika mtaa wa barabara ya msimbazi, eneo la Kariakoo kunakopelekea jiji la Dar es Salaam,kuwa chafu licha serikali kujitahidi kusafisha.