CHEMBA ya maji taka inavyohatarisha afya za wapita njia katika eneo la buguruni sokoni, kwa wiki kadhaa chemba hiyo imekuwa ikitiririsha maji taka. |
WATEMBEA kwa miguu wakipata taabu kwa kukanyaga maji taka ambayo yanatiririka kutoka kwenye moja chembe zilizoko katika eneo la Buguruni Sokoni. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni