Karibu katika ulimwengu wa habari.Hapa utapata habari mbalimbali kukuelimisha, burudisha na kuwa wa kwanza kabisa kujua mambo mbalimbali.
Ijumaa, 28 Agosti 2015
Shirika la Afya Dunian (WHO), limetoa msaada wa Dawa za kutakasa mazingira na kutibu maji ili kujikinga na ugonjwa wa kipindupindu katika mkoa wa Dar es Salaam.
Wakazi wa Dar es Salaam, wametakiwa kuhakikisha wanazingatia kanuni za usafi ili kudhiti kuenea kwa ugonja wa Kipindupindu, ambapo umekuwa ukienea sehemu nyingi jijini humo.
Pia ugonjwa huo umueikumba mkoa wa Pwani ambapo hadi sasa wagonjwa saba wamekuwa wakipatiwa matibabu. Kati ya hao mmoja ameripotiwa kufariki dunia.MATUKIO KATIKA PICHA
Mafanikio ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), ambapo limekuwa likitoa mafunzo ya stadi za kazi, Elimu ya Ujasiliamali, Kilimo, ufugaji.
Pia, Jeshi hilo likifundisha maadili kwa vijana ambao waliomaliza kidato cha sita kwa mujibu wa sheria.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)